Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,357 Reaction score 100,374 Nov 12, 2022 #21 chlorine gas said: Mbona mtoto kafanana na abdalah au macho yangu Click to expand... Kalipwa fadhila, memory
chlorine gas said: Mbona mtoto kafanana na abdalah au macho yangu Click to expand... Kalipwa fadhila, memory
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,357 Reaction score 100,374 Nov 12, 2022 #22 blogger said: Wabongo tunapendaga vita tu Click to expand... Naenda Jumuiya kwanza. Nitamuombea Dulla
blogger said: Wabongo tunapendaga vita tu Click to expand... Naenda Jumuiya kwanza. Nitamuombea Dulla
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,957 Reaction score 26,114 Nov 12, 2022 #23 chlorine gas said: Mbona mtoto kafanana na abdalah au macho yangu Click to expand... Ramli chonganishi hizi
chlorine gas said: Mbona mtoto kafanana na abdalah au macho yangu Click to expand... Ramli chonganishi hizi
chlorine gas JF-Expert Member Joined Jun 12, 2015 Posts 2,544 Reaction score 2,693 Nov 12, 2022 #24 Mzingo said: Huyo ni mke wa Bashungwa. Miaka 16 iliyopita Abdala alimpa huyo mdada namba ya Bashungwa. Huyo dada akakutana na Bashungwa wakapata watoto mpaka wamefika wanne. Mdada amekutana na kiunganishi miaka 16 baadaye Click to expand... Ni mke wa bashungwa kweli ?
Mzingo said: Huyo ni mke wa Bashungwa. Miaka 16 iliyopita Abdala alimpa huyo mdada namba ya Bashungwa. Huyo dada akakutana na Bashungwa wakapata watoto mpaka wamefika wanne. Mdada amekutana na kiunganishi miaka 16 baadaye Click to expand... Ni mke wa bashungwa kweli ?
Mzingo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 4,766 Reaction score 10,611 Nov 12, 2022 #25 chlorine gas said: Ni mke wa bashungwa kweli ? Click to expand... Ndio. Ni mjasiriamali. Yupo instagram. Mpaka kampeni za mumewe Kagera alikuwepo
chlorine gas said: Ni mke wa bashungwa kweli ? Click to expand... Ndio. Ni mjasiriamali. Yupo instagram. Mpaka kampeni za mumewe Kagera alikuwepo
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 13,337 Reaction score 21,210 Nov 12, 2022 #26 Mzingo said: Huyo ni mke wa Bashungwa. Miaka 16 iliyopita Abdala alimpa huyo mdada namba ya Bashungwa. Huyo dada akakutana na Bashungwa wakapata watoto mpaka wamefika wanne. Mdada amekutana na kiunganishi miaka 16 baadaye Click to expand... Nakubali hiyo sura ya mtoto ni ya Wazir.
Mzingo said: Huyo ni mke wa Bashungwa. Miaka 16 iliyopita Abdala alimpa huyo mdada namba ya Bashungwa. Huyo dada akakutana na Bashungwa wakapata watoto mpaka wamefika wanne. Mdada amekutana na kiunganishi miaka 16 baadaye Click to expand... Nakubali hiyo sura ya mtoto ni ya Wazir.
chlorine gas JF-Expert Member Joined Jun 12, 2015 Posts 2,544 Reaction score 2,693 Nov 13, 2022 #27 Mzingo said: Ndio. Ni mjasiriamali. Yupo instagram. Mpaka kampeni za mumewe Kagera alikuwepo Click to expand... Hatari sana
Mzingo said: Ndio. Ni mjasiriamali. Yupo instagram. Mpaka kampeni za mumewe Kagera alikuwepo Click to expand... Hatari sana
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 5,530 Reaction score 9,321 Nov 13, 2022 #28 Abullah
Waminyato JF-Expert Member Joined Jun 22, 2022 Posts 2,195 Reaction score 4,540 Nov 18, 2022 #29 Dullah ametisha.