Neno marehemu ni kiswahili?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,494
Reaction score
29,282
Wakuu, naombwa kujuzwa.

Hili neno "marehemu"ni kiswahili?

Kwa lugha ya kwenu ni nini au mnamwitaje kwa kilugha ya kwenu.
 
Wakuu, naombwa kujuzwa.

Hili neno "marehemu"ni kiswahili?

Kwa lugha ya kwenu ni nini au mnamwitaje kwa kilugha ya kwenu.
mkuu sidhani kama umeeleweka ukitakacho,jaribu kurudia swali ili tuweze kukujibu
 
mkuu sidhani kama umeeleweka ukitakacho,jaribu kurudia swali ili tuweze kukujibu

Marehemu ni neno lenye asili ya kiarabu 'al marhum', vile vile 'maiti - mayyit' na mauti - maut

Labda wa mikoani ndiyo wenye maneno mengine
 
Hata wa huko huko mikoani marehemu kwa jina lingine hata kama kilugha anaitwa nani
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…