soldier MAN
Member
- May 13, 2024
- 83
- 173
Mkumbuke Bwana Mungu wako ukatubu dhambi zako ufalme wa mbinguni umekaribia na hukumu ya moto itatolewa kwa wote ambao mioyo yao inawahukumu kuwa wamemtenda Mungu dhambi, tubu na uokoke ili uhesabiwe haki itokayo katika kumwamini Yesu Kristo kuwa ndiye Bwana na Mwokozi wa maisha yako
Ili moyo wako usikuhukumu na ukaurithi ufalme wa mbinguni,kabla ujafia katika dhambi ukatupwa kwenye jehanam ya moto.BWANA WETU YESU KRISTO ATUSAMEHE.
Ili moyo wako usikuhukumu na ukaurithi ufalme wa mbinguni,kabla ujafia katika dhambi ukatupwa kwenye jehanam ya moto.BWANA WETU YESU KRISTO ATUSAMEHE.