Neno la shukrani - Elia F Michael

Neno la shukrani - Elia F Michael

Usikate tamaa.hongera kwa kuchaguliwa na wananchi.
 
viva kamanda
FB_IMG_1534179985568.jpg
 
Mkuu, hivi kweli unaitumia jf kama reliable source?

Reliable source zote kwa sasa zina hofu ya cheo cha mkulu. Na kutokana na kukua kwa technology, social media imekuwa ni sehemu nzuri ya kuwafikia watu kwa haraka.
 
Dogo uko vizuri. Ila hakikisha unaenda mahakamani. Hii ni hatua muhimu.
 
Reliable source zote kwa sasa zina hofu ya cheo cha mkulu. Na kutokana na kukua kwa technology, social media imekuwa ni sehemu nzuri ya kuwafikia watu kwa haraka.
Ndio maana Albert Eisteins alisema, itafika wakati technology itakapozidi (social media), jamii itakuwa imejaa wapumbavu kutokana na hiyo technology.
HAKUKOSEA.
 
Wapumbavu wako hapa duniani miaka na miaka hata kabla ya hiyo technology (social media). Hizo semi mnazibeba na kuzitapika kama zilivyo bila kuangalia kilichopelekea kusema hivyo. Ila malimbukeni wakipata semi ya mzungu ndio wanatusumbua nazo malofa humu jukwaani.
 
Jf sio reliable source, amka! Acha uendawazimu. Ndio point hiyo.
 
Point yangu ni kuwa reliable source zimepigwa ganzi na awamu ya tano. Hivyo watu wameamua kujiongeza kwenye social media. Sasa hivi socialmedia ndio mpango mzima. Mpaka jiwe naye huwa anazama humu baada ya kuona huko sehemu za uhakika wanaa wanampaka tu mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Back
Top Bottom