Mmezoea kuniona nikija na mada za vichekesho, mada za mpenzi, mada za siasa, leo nimewaletea habali ya uzima wa milele, leo ninamzungumzia mtu mmoja anaitwa yesu kristo huyu ni yeye yule jana leo na hata milele, ee mwanadam kumbuka baada ya kuishi kuna kufa je?
Umejiandaaje na na uzima wa milele? Acha dhambi ukaulisi ufalme wa mungu acha uzinzi acha zinaa acha uasherati acha uwizi acha uwongo, mkabizi Yesu maisha awe bwana na mwokozi wako.
Nikutakieni jumapili njema