Neno la Mungu kuhusu pombe

Waraka wa Kwanza wa Petro....

01 Petro 04 : 01 - 05 .. inasema.....

1 Basi kwa kuwa Kristo aliteswa katika mwili wake, ninyi nanyi jivikeni silaha ya nia ile ile; kwa maana yeye aliyeteswa katika mwili ameachana na dhambi.
2 Tangu sasa msiendelee kuishi katika tamaa za wanadamu, bali katika mapenzi ya Mungu, wakati wenu uliobaki wa kukaa hapa duniani.
3 Maana wakati wa maisha yetu uliopita watosha kwa kutenda mapenzi ya Mataifa; kuenenda katika ufisadi, na tamaa, na ulevi, na karamu za ulafi, na vileo, na ibada ya sanamu isiyo halali;
4 mambo ambayo wao huona kuwa ni ajabu ya ninyi kutokwenda mbio pamoja nao katika ufisadi ule ule usio na kiasi, wakiwatukana.
5 Nao watatoa hesabu kwake yeye aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa.
 
Mbona sioni pombe
 
Mara ako ya mwisho kusoma bibilia ni lini maana kitab cha yoshua bin sira akina aya nyingi ivo kina aya 24 tuu ........ko jaribu kumwogopa mungu kijanaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…