Neno kwa wana mmu

Huwa unazitoaga wapi hizi, kila point unaisapoti kwa picha, wewe kiboko
unaona sasa mrembo by nature ameshadatika na picha, hivi uliomba kwanza kabla ya kuachia upako huu? maana naona shetani ameshaliteka jukwaa,...lol
 
wew asprin jamani acha fujo, unajua bwana anachukia pale unapoingilia upako??? usimjaribu bwana Mungu wako

Umeona fujo zake eeehh, ukiona hivyo ujue yeye bado hajapata jaribu.....angekuwa ameguswa asingeleta utani hapa
 
unaona sasa mrembo by nature ameshadatika na picha, hivi uliomba kwanza kabla ya kuachia upako huu? maana naona shetani ameshaliteka jukwaa,...lol

Unajua asprini hajapata shida/tatizo na likamfanya akili igote ndo maana anafanya utani, lakini tusimlaumu sana, tumueleweshe tu..........mtu harekebishwi kwa vitisho bali kwa upole
 
Samahani mpenzi, shetani ameamua kuitawala dunia mchana kweupeeee..
shiiindwaa kwa jina la YESU, shiiindwaaaa kwa jina la YESU wa nazareti, shetani huna mamlaka sasa,,oooh haleluyaaa!! nakushukuru bwana YESU kwakua umemkimbiza ASPRIN huku jukwaan maana alimteka mpaka mleta mada. du!
 

Let it be, God don't forget me!
 
Unajua asprini hajapata shida/tatizo na likamfanya akili igote ndo maana anafanya utani, lakini tusimlaumu sana, tumueleweshe tu..........mtu harekebishwi kwa vitisho bali kwa upole

utani tu bana namuelewa asprin hana shida kabisaaaaa
 
Asprin naomba poo ya kicheko lol... yani picha ya rabaz imenimalizaaaa kabisaa lol. Hayo mapicha yako mengine nimekosa tu kitufe cha dis - like, ningebonyeza *1000.
 
Asprin naomba poo ya kicheko lol... yani picha ya rabaz imenimalizaaaa kabisaa lol. Hayo mapicha yako mengine nimekosa tu kitufe cha dis - like, ningebonyeza *1000.
Basi mamaa neggirl, yaisheee! Niko veeeeery busy jamani!!

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…