Neno kwa wana mmu

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,161
Inawezekana kabisa unazunguka na bahasha yako mjini kila siku ukitafuta kazi hadi soli ya kiatu imeisha..,lakini huu ni mwaka wa tatu au wa nne toka umalize chuo but no job.......dont worry be happy, one day things gonna be alright. Mungu amekuandalia kazi kwenye sehemu ambayo hutakaa ukaamini. Anasubiri tu yule meneja mbadhilifu aresign ili kazi itangazwe uchukue wewe.

Inawezekana wewe mkeo/mmeo hajatulia hata kidogo, kila siku ni visa ugomvi na kufumaniana............dont worry be happy, things gonna be alright.

Inawezekana wewe ni msichana ambae kila siku wanaume wamekuwa wakikutumia kwa MKOPO na kukudump huku wakitoa ahadi za kukuoa lakini hawatimizi.............dont worry, usivue tena chupi yako, be happy na very soon things gonna be alright.

Ewe mwana MMU, hebu soma hapa nawe utapata faraja....

Labda wewe ni mkaka ambae wanawake wamekuchuna sana lakini mwisho wa siku wanakuacha wanaolewa na wanaume wengine na so kazi yako imekuwa kuwapendezesha alafu wengine wanaopoa............dont worry, be happy, God is fixing things for you.

Inawezekana kabisa wewe ni mzazi lakini mabinti zako au vijana wako wamekuwa mzigo kwako, wanakutia aibu kila uchwao mtaani, na hata kwa Mungu na mbele za wanadam...........dont worry, be happy God is fixing their behavior and soon watakuwa ni watu wa kutegemewa.....

Inawezekana kabisa wewe ni mtu ambae kila mpango wako unaoupanga haufanikiwi, umeenda kwa waganga lakini waaaaapi.....dont worry, be happy mganga ni Yesu tu, and so he will put everything in order......



DONT WORRY, BE HAPPY

Neno kutoka kwa mtumishi Mrembo by Nature.
 
AAMMEEEN ubarikiwe na bwana mtumishi,. kila mwana MMU apokee kwa imani jamani., Mungu anaenda kutenda, tena anaenda kutenda sasa hivi ameen??
 
Au inawezekana kabisa unahangaika kutafuta kifaa kikali kama hiki ili utende nacho dhambi lakini umekikosa...... Be patient..... Shetani anakuhangaikia uitii kiu yake.

 
Hii JF ni nzuri kila dakika..............halafu eti mtu aseme "me i dont like these kind of social network" toka tena ushindwe na kulegea
 
Au inawezekana kabisa unahangaika kutafuta kifaa kikali kama hiki ili utende nacho dhambi lakini umekikosa...... Be patient..... Shetani anakuhangaikia uitii kiu yake.


Hahaha dont worry, ukimwi unakusubiri na soon utaupata
 
Ameen. Roho wa Bwana ameniambia ni ku pm, hivo usishangae ukiona pm yangu. Huo ni uvuvio wa roho wa Bwana.
 
Asprin.. Yani wewe umeshindikana kabisa lol. Unakosa discipline hata kwenye thread zenye upako wa Mungu. Kaaaa...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ameeen. Na iwe hivyo. Namtanguliza Yesu ktk kila neno, tendo na hata wazo. Na yote yatawezekana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hivi wewe aspirini huwa unawazaga nini, nacheka hapa kufa, uachage bwana utani mbele ya neno kama hili la kuwabariki watu
Hahahaha! Haya bana, Tatizo si mimi, tatizo dunia imefika pahala pake...

 
Asprin.. Yani wewe umeshindikana kabisa lol. Unakosa discipline hata kwenye thread zenye upako wa Mungu. Kaaaa...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Samahani mpenzi, shetani ameamua kuitawala dunia mchana kweupeeee..

 
Asprin umepoteza kabisa mtiririko wa sredi...ulaaniwe na bwana....
 
Last edited by a moderator:
wew asprin jamani acha fujo, unajua bwana anachukia pale unapoingilia upako??? usimjaribu bwana Mungu wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…