Yes mkuu, humu ndani hii dot.com uelewa wao ni changamoto sana,yeye kayaona ya mbali (Somalia)yanayomuathiri yeye directly hayaoni, Ethiopians wengi wanaruka ukuta kuingia hapa nchini, hili ni tatizo maana hawa jamaa wanatuona sisi hatuwezi kulinda nyumba yetu, why wasipitie mlangoni, wakati tuna milango mingi tu?,why warukie madirishani?,yes wengi wanapita kwenda kwa Madiba, ila waingie hapa thr proper channels sio kulidhalilisha jeshi letu kuonekana hizi borders zetu zipo porous