Neno 1 kwa mshana jr

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,462
Binafsi nakupongeza sana kwa mada zako motomoto. Humu ndani njooni mtoe pongezi na mengineo hapa wale wanao ziona
Ni mpya
Wanaosisimka
Wanaofundishwa
Wanaotishwa
Na wasiozipenda weka neno kwa mshana jr.
Ila Nina maswali
1. Ulianza kujifunza/ kuyajua lini mambo haya
2. Una vitabu
3. Hivi vitu umeviandika mahali kwa ukumbusho
4.unadhani elimu hii inawezaje kufundishwa mashuleni?
Ni vema kama ukipenda ukatupa historia yako
 
Mi napenda sana mada zake. Nahisi anapenda kujifunza mambo mbalimbali na pia ana uwezo mzuri wa kupambanua mambo.
 
Huyu jamaa huwa najiuliza cjui vitu hivi anavitoa wapi dah!
Ikiwezekana aandaa vitabu ama movie kama kumbukumbu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom