- Nimepokea kwa furaha kuu kujiuzuru kwnu... uamuzi huu mmechelesana kuuchukua...
- Mmekuja simba na kupewa uongozi nyadhifa kubwa bila kuwachunguza kama kweli mlistahili nyadhifa hizo au ni ubabaishaji ulitumika katika kuwachagua au kuwateua...
- Mmefanya usajili wa ajabu ajabu kwa gharama kubwa lakini wachezaji mnaowaleta ni feki.. mlisajili Congo, Kenya, uganda, Ivory Cost, na hapo hapo mkauza wachezaji hovyo hovyo bila kutafuta mbadala ya wachezaji mnaowauza...
- Mkafukuza makocha bila kuwana mpangilio... kwa kweli mmekuja Simba lakini mmeiharibu Simba hakuna mlichokifanya cha ziada bali mmeuza sura na kujulikana pasipo manufaa kwa klabu...
- Ondokenieni.... mlivyoikuta Simba mtaiacha na itaendelea kuwepo ... wapo waliopita katika uongozi na hata uchezaji... kwa maana hiyo nendeni kwa salama...
- Wanachama wa Simba kuweni makini na kukurupuka kuchagua viongozi ambao sio watu wa mpira... angalieni na historia zao kama kwli wanapenda BANGO la Simba au wababaishaji.....
Bado tu mnaendelea kushabikia mpira ambao wachezaji hufanya mazoezi kwa kulala makaburini? Mimi nilishatoka huko zamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
baada ya mechi ya yanga simba itavunjwa!!!!
kipigo kitaongeza mparanganyiko!Kwa nini??
siku zake zinahesabika!Rage yeye hajajiuzulu?
Sasa na wewe unashabikia mpira ambako watu weusi huitwa nyani!!!!!!!!!!!!!?????? Wajiona mjanjaaaa.
sii ndugu yake hans poppe wa kuzaliwa?makamu mwenyeketi simba naye amejiuzulu. chezeya libolo weye!. mia
.......Pamoja na mambo mengine yote lazima itayarishwe ripoti ya makabidhiano inayoelezea tarifa kamili ya maumizi ya pesa hasa usajili wa ajabu ajabu....na lazima TAKUKURU... ipenye na kufanya uchunguzi wa kina....
Acha upumbavu weweKaburu kasajiliwa na Libolo la Yanga