kidE Meshack
Member
- Jan 8, 2013
- 92
- 7
Wanawake lazima tujikwamue kiuchumi hatutaki kupelekeshwa na maonevu ya wanaume kwenye mifumo dume. Ukiwa tegemezi lazima uonewe tu. Nawapongeza wanawake wachakarikaji wote.
Hafu mleta mada una inferiority complex inakusumbua tu hyo democracy yako haina uhalisia sema wanaume wengi mkizidiwa na wanawake hamjiamini. Hata utumie akili gan wanawake wa karne hii si wale wa dark ages
Tatizo mshakua wachoyo sana bana yani hata kijiko tu utasimangwa ndo maana wengine wanaamua kuwa na vyao......
Af kumradhi babu hayo maandiko yamesema tuwe wasaidizi kiuchumi?
Unaelewa maana ya kula kwa jasho?
Cc Kaboom kwa ufafanuzi zaidi
Huo ni uongo tu.Hao wanawake unaowaita wachakarikaji huwategemea sana wanaume wawafanikishie mambo yao kwani wenyewe peke yao hawawezi kitu.Unakutana na mwanamke eti ni mfanyabiashara na anakwenda Dubai kuchukua mzigo lakini ukimfuatilia kwa makini utagundua kuwa Mtaji wake,nauli ya ndege, Malazi na chakula vyote anapewa na mwanaume/Wanaume, sasa hapo uchakarikaji upo wapi? Pia wanawake wanaowania nafasi za kisiasa kama ubunge na Udiwani wengi wao wamezipata kwa kuwezeshwa na wanaume, sasa uchakarikaji upo wapi hapo? Kwa ujumla wanawake wangekuwa wachakarikaji hasa kama unavyosema mbona basi hatuwaoni katika orodha ya juu ya matajiri duniani inayotolewa na jarida la FORBES? Any way wapo wanawake wachache sana wanaosimama kwa miguu yao wenyewe (Pongezi kwao) na idadi yao haizidi 2/100. Huu ni uchambuzi huru na wala hautawaliwi na mfumo dume/Jike.
Teh teh..Nyie ndo wachoyo na wabinafsi..Tatizo mshakua wachoyo sana bana yani hata kijiko tu utasimangwa ndo maana wengine wanaamua kuwa na vyao......
Af kumradhi babu hayo maandiko yamesema tuwe wasaidizi kiuchumi?
Naelewa ila jasho la mwanamke linatakiwa liwe jembamba na chache kuliko la mwanaume, na ndiyo maana ya msaidizi! Kama uliwahikupata fursa ya kuhudhuria mafunzo ya JKT utaelewa kwa urahisi ninachokisema hapa.
Teh teh..Nyie ndo wachoyo na wabinafsi..
Teh teh..Mpendwa hili somo ulishagoma kulielewa toka kitambo..Hata aje prof kutoka mbinguni hautaelewa lol
Mpendwa kama unamwona mwanaume ni mbahili/mbinafsi unakubali kuolewa nae wa nn??..Hilo ni janga ofcoz..Ila kama mwanaume hakuwa mbahili kipindi cha mahusiano yenu ila akaanza tabia hiyo baada ya kuoana jua kuna uwezekano mke ndo kachangia tabia hiyoKwakweli hata aje nani sielewi, Mpendwa kuna wanaume wabinafsi wewe acha tu
Mpendwa kama unamwona mwanaume ni mbahili/mbinafsi unakubali kuolewa nae wa nn??..Hilo ni janga ofcoz..Ila kama mwanaume hakuwa mbahili kipindi cha mahusiano yenu ila akaanza tabia hiyo baada ya kuoana jua kuna uwezekano mke ndo kachangia tabia hiyo