NEMC yaifunga hotel ya 'Double Tree'

NEMC yaifunga hotel ya 'Double Tree'

.., ni vizuri waziri kutekeleza wajibu wake! Nyie subiri muda si mrefu utakuta hotel inaendesha shughuli zake bila wasi wasi.
 
Wakuu

Hakuna mkono wa fisadi yeyote kweli hapo?

maana kama upo baada ya wiki utasikia inaendelea na kazi
 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi (Mazingira) Dr. Terezya Huvisa ameifungia leo hoteli ya Double Tree kwa kutirirsha maji taka baharini. Inasemekana waziri Huvisa amefanya ziara ya kushtukiza leo na kutoa amri hiyo ya kuifunga hoteli hiyo kwa kile kilichoelezwa ni uchafuzi wa mazingira.

_DSC0049.JPG
 
huyu jamaa inaonekana hakukata uchache bongo kila kitu kina wezekana
 
Nina maswali mia moja kwenye hili.

Migodi ni ya kwanza.

Ya mwisho ni environmental audit iliofanyika...... Clean certificate ilitokaje?

Ohhooo Takukuru hamna cha kufanya hapa?. Ngoja niwarahisishie, mtafuteni alietoa clean environmental audit report! Au bado hamjaelewa kama kawa?
 
Back
Top Bottom