Mleta habari acha uongo wewe. Hii malaika ya mwanza naifahamu na nimefika pale. Unajua cm 30 kweli wewe? ni rula moja tu. ziwa lina mawimbi pia kwa hiyo ungesema tu malaika imejengwa ndani ya ziwa, Ukweli ni kwamba Hoteli yenyewe iko zaidi ya meta 20 kutoka ziwani. hayo maji yanayoonenekana kwenya picha yako ni madoido tu. Kuna mkondo wa maji unesanifiwa kiufundi na maji yanapita (yanatiririka) chini ya majengo. inapendeza sana
Sio kweli,malaika hujaenda wewe tu(ila hiyo cm 30 ni exaggeration tu) sasa 20m kutoka ziwani ni halali?Mleta habari acha uongo wewe. Hii malaika ya mwanza naifahamu na nimefika pale. Unajua cm 30 kweli wewe? ni rula moja tu. ziwa lina mawimbi pia kwa hiyo ungesema tu malaika imejengwa ndani ya ziwa, Ukweli ni kwamba Hoteli yenyewe iko zaidi ya meta 20 kutoka ziwani. hayo maji yanayoonenekana kwenya picha yako ni madoido tu. Kuna mkondo wa maji unesanifiwa kiufundi na maji yanapita (yanatiririka) chini ya majengo. inapendeza sana
Pumbavu ile imejengwa na serikali sio kwa hisani ya mtuMkivunja Malaika na wao watavunja ile barabara ya lami inayozunguka kilima cha Ilemela Tunza hadi Airport
Mtajenga yenu...?
Sheria inasema mita 60 kutoka baharini au kwenye chanzo cha maji, mtoa mada alimaanisha mita 30 nadhaniMleta habari acha uongo wewe. Hii malaika ya mwanza naifahamu na nimefika pale. Unajua cm 30 kweli wewe? ni rula moja tu. ziwa lina mawimbi pia kwa hiyo ungesema tu malaika imejengwa ndani ya ziwa, Ukweli ni kwamba Hoteli yenyewe iko zaidi ya meta 20 kutoka ziwani. hayo maji yanayoonenekana kwenya picha yako ni madoido tu. Kuna mkondo wa maji unesanifiwa kiufundi na maji yanapita (yanatiririka) chini ya majengo. inapendeza sana
Jirani yake panaitwa charcoal ribs, huyo mmiliki wake maji ya pale yalishamshinda, maji hua yanajaa pale mpk sehemu ya kusimama hakuna tenaPia kuna Jembe ni Jembe na jirani yake kule Nyegezi. Hizi zote zimejengwa ziwani maana hata stage iko juu ya maji. Kama ni kweli zoezi limedhamiria kuondosha uovu, basi na hotel hizi zipigwe kijiko.
Hahaha wakimaliza tilapia watahamia hotel ya Ryans Bay, mmiliki wake ambae ni fotes ingawa wajuvi wanasema mzee na yule bwn mdogo wana wanahusika na shoo,mtawaua kwa pressureNemc njooni huku kapli point kuna hotel inaitwa Trapia hii ni shida iko majini.
Vijana imefanyaje tenaNa vijana social hall kirumba?
Pia kuna Jembe ni Jembe na jirani yake kule Nyegezi. Hizi zote zimejengwa ziwani maana hata stage iko juu ya maji. Kama ni kweli zoezi limedhamiria kuondosha uovu, basi na hotel hizi zipigwe kijiko.