Mkuu naskia nyoka wakipigana na mmojawapo anaona mwezie anakata roho hukimbia haraka kutafuta dawa na kumponya nyoka hiyo. Nyoka ni mponyaji hata Bible Wana wa Israel enzi za muda waliambiwa waangalie sanamu ya nyoka ndio watapona. Wale ambao hawakuiangalia walikufa.Hiyo inaitwa Rod of Aesculapius (Asklepios) ambae ni 'mungu' wa medicine katika myths za Kigiriki.
Wanaiita Doctor's Symbol na sio WHO tu wanaitumia ni taasisi nyingi za afya duniani.
Tumia simujanja yako kutafuta melezo na majibu, kila kitu kimo kwenye Google.Wale "wajuzi" wa mambo, hii alama ya nyoka kwenye nembo ya shirika la afya duniani ina maanisha nini?
Nafikiri alama zozote zina maana yake. Haiwekwi kwa bahati mbaya.
Naona pia alama ya nyoka kwenye noti ya shilingi mia tano ya Tanzania! Sifahamu kama nyoka wa kwenye mia tano ya Tanzania ana maana sawasawa na nyoka wa kwenye nembo ya WHO?
Huyu nyoka anaamanisha nini kwenye nembo ya WHO? View attachment 1441720
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wa nyungu na mitishamba ya Madagascar tiririken basi ,hii IPO kwenye your area of expertiseWale "wajuzi" wa mambo, hii alama ya nyoka kwenye nembo ya shirika la afya duniani ina maanisha nini?