I ishobo Member Joined Jan 3, 2014 Posts 16 Reaction score 10 Oct 21, 2014 #1 Wana jukwaa nawasalim. Mwenye uelewa kuhusu sababu za mwanaume aliye kwenye nembo ya taifa KUVAA GAUNI naomba anijuze. Linanipa taabu kidogo hili.
Wana jukwaa nawasalim. Mwenye uelewa kuhusu sababu za mwanaume aliye kwenye nembo ya taifa KUVAA GAUNI naomba anijuze. Linanipa taabu kidogo hili.
yaliyomoyamo JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 603 Reaction score 452 Oct 21, 2014 #2 sio gauni lile ni lubega, na mwenye uelewa kuhusu mwanamke wa kwenye nembo ya taifa kuvaa hijabu naomba anijuze pia!
sio gauni lile ni lubega, na mwenye uelewa kuhusu mwanamke wa kwenye nembo ya taifa kuvaa hijabu naomba anijuze pia!
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,787 Oct 21, 2014 #3 Umezaliwa mwaka gani? Kama ni wa kizazi hiki subiri mkija kuandika katiba yenu muedit hii nembo mwanaume mumvishe hivi
Umezaliwa mwaka gani? Kama ni wa kizazi hiki subiri mkija kuandika katiba yenu muedit hii nembo mwanaume mumvishe hivi
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,734 Reaction score 9,915 Oct 21, 2014 #4 Kwani shule ulisoma ya Primary Darsa la nne hamkuichambua nembo ya taifa? Nyie ndio mliosema Diamond kapanda jukwaani na sketi,kufuatilia kumbe ni mavazi ya nchi fulani.
Kwani shule ulisoma ya Primary Darsa la nne hamkuichambua nembo ya taifa? Nyie ndio mliosema Diamond kapanda jukwaani na sketi,kufuatilia kumbe ni mavazi ya nchi fulani.