![]()
The ceremony was broadcast across the world, with many in South Africa tuning in.
Kumbe huwa tunawazodoa bure wanajeshi wetu na wakuu wa polisi........watu wana vitambi bana......sijaona afande mwembamba mpaka dakika hii.......
Vita ya siku hizi ni kutumia technolojia sio kukimbizana msituni kama M23 kama ni hivyo kwanini nyama choma na bia zisionyesha matunda yake
Nimesubiri kuona huyo ng'ombe wa kafara mpaka nimechemsha.....mliomuona nionyesheni wajameni.........
hawajaruhusu kabisa watu wapige Picha wakati wanazika
umemwona huyu Priest hapa?
![]()
nimemuona.......naona kajiamulia zake kujisalia kivyake yeye na Mungu wake...........