Bila kumsahau mshanaLeo Baada ya Mishe za hapa na pale nikaamua, kuchezea kidogo simu yangu hii na kudesign logo za wanajamii forum maarufu baadhi kwa kulingana na majina yao. Wapo wengi ila hawa ni wachache siwezi kutengeneza kwa wote ntachokaa..
Nimajaribu tu ili mnipe maoni yenu...kama ziko poa.View attachment 848502View attachment 848503View attachment 848504View attachment 848505View attachment 848506View attachment 848508View attachment 848511View attachment 848513View attachment 848512View attachment 848514View attachment 848515View attachment 848516
Sent using Jamii Forums mobile app
Application gani? Inaitwaje
Kali sana mkuu, ila hapa kwenye hii ya mshana umesahau kuongeza uteo, au hata kibwengo [emoji1] .....natania tu.
Hiyo avatar yako inabidi ichunguzwe na V A R.
Kausha mkuu! Avatar bumunda hiyo.Hiyo avatar yako inabidi ichunguzwe na V A R.
Aaah mkuu unifahaamu kweli acha izo mbanga bhana
Wewe ni fala mdogo anguaiseeeeeeeh inastaajabisha
lakini inafundisha
Hahaha... sawa, ila nimeipenda.
hahahahaWewe ni fala mdogo angu