Heci
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 3,529
- 5,937
Mwanadada maarufu sana Facebook Negwako Trump Mwasanyula amepewa adhabu ya kununua helmet baada ya kukamatwa na Polisi akiwa amepanda kwenye Pikipiki bila kuwaa kofia ngumu.
Pichani ni Ndugu Negwako akiwa na kofia aliyolazimishwa anunue.
HIZI SHERIA ZISIZOZINGATIA HAKI ZA WATU,ZINALETA CHUKI TU,RAIA ANAPOKOSEA APEWE ADHABU YENYE MAANA,SASA HII YA KUMUAMRISHA ABIRIA WA BODABODA ANUNUE KOFIA NGUMU KAMA ADHABU si sahihi hata kidogo,mwenye kupaswa kumiliki Kofia ngumu ni mwenye pikipiki tu. Mungu anilipizie hela yangu niliyonunulia huo mkofia!!