"Neema za Allah" ndo hizi

Miwani yangu imeharibika lenzi sioni vizuri, hebu niambieni ni nini hicho hapo nyuma kwa huyo binti alievaa nguo kama nyeupe. Maandishi naona ila picha sioni vizuri wandugu.
 
Sababu ya kwenda kuoga ninayo ,uwezo wa kwenda kuoga ninao na nia ninayo..........isipokuwa tu maji ndio sina........
 
Kama wewe hutumii ni wewe, usituongelee wenzako. kama wewe hutumii unachokiona si uchukue flat screen na hizo neema za allah utuwachie wenyewe.

Mkuu mbona mkali, katishia kumwaga pombe nini
 
Kama wewe hutumii ni wewe, usituongelee wenzako. kama wewe hutumii unachokiona si uchukue flat screen na hizo neema za allah utuwachie wenyewe.

Hahahahaaaaaaa ����������������������
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…