Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,410
- 283,603
Hasa ikizingatiwa kitu alichofanya JPM jana cha kutuletea old wine in a new bottle.Amen. Watanzania jueni kuwa mapambano ya kumtoa jitu ccm yanaendelea, hamna jipya ndani ya ccm.
Mkuu nakuunga mkono, unajua kuna watu bado hawajafanya uchaguzi ndo kwanza wanatoa ahadi kwenye kampeni. Amkeni nyie mbulula uchaguzi ulishapita "SASA NI KAZI TU"! Inawezekana hawajui kama mawaziri wameshateuliwa!!Yaani bado wanaahidi!!!
Wakumbushe kuwa huu ni muda wa kazi sio wa ahadi...
Hasa ikizingatiwa kitu alichofanya JPM jana cha kutuletea old wine in a new bottle.
Hakika kutegemea mabadiliko ndani ya mfumo wa CCM walioishiwa pumzi, ni sawa sawa na kutegemea umpenyeze ngamia kwenye tundu la sindano!
wachunguzi wa mambo ya serikali wamesema baraza hili ndilo lenye kutia shaka kuliko mabaraza yote yaliyowahi kuteuliwa katika nchi hii .Hasa ikizingatiwa kitu alichofanya JPM jana cha kutuletea old wine in a new bottle.
Hakika kutegemea mabadiliko ndani ya mfumo wa CCM walioishiwa pumzi, ni sawa sawa na kutegemea umpenyeze ngamia kwenye tundu la sindano!
CHADEMA ni watu makini sana
Mkuu nakuunga mkono, unajua kuna watu bado hawajafanya uchaguzi ndo kwanza wanatoa ahadi kwenye kampeni. Amkeni nyie mbulula uchaguzi ulishapita "SASA NI KAZI TU"! Inawezekana hawajui kama mawaziri wameshateuliwa!!
hoja yako imefika .wajenge hospitali. haiwezekani mji wa watu 100,000 wategemee health centre! au kilichapanda hadhi? na maji pia.
hoja yako imefika .