Neema ya CHADEMA yaingia Tunduma

Neema ya CHADEMA yaingia Tunduma

Viongozi wapya wa Halmashauri ya mji wa Tunduma maarufu kama ( chadema zone ) katika wilaya ya Momba mkoani Mbeya wameahidi kufanya mabadiliko makubwa ya miundo mbinu na mpangilio wa makazi katika mji huo ulio mpakani mwa Tanzania na Zambia ili kuufanya wa kisasa , jambo ambalo limeshindikana kwa zaidi ya miaka 54 tangu nchi hii imng'oe mkoloni !

Hayo yamebainishwa na mbunge wa eneo hilo Mh Frank Mwakajoka pamoja na Mstahiki Meya Mh Ally Mwafongo .

Tunawashukuru sana wanatunduma kwa kuiamini CHADEMA na hayo ndiyo matunda yake.In CHADEMA WE TRUST .

Nyumbu akiwa kazini!.
 
CHADEMA ni watu makini sana

CHADEMA,sio makini kama unavyo amini, wameonyesha kuwa hawako makini pale walipoona wanachadema wote hakuna anaefaa kuwa rais, mpaka watu toka CCM. Uposema wako makini sijui unamaanisha nini.
 
CHADEMA,sio makini kama unavyo amini, wameonyesha kuwa hawako makini pale walipoona wanachadema wote hakuna anaefaa kuwa rais, mpaka watu toka CCM. Uposema wako makini sijui unamaanisha nini.

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - MWL NYERERE , maana yake ni kwamba chama ni lazima kihangaike kusaka wanachama wapya , kijenge misingi nchi nzima , sasa huwezi kuogopa wanachama wapya ili kulinda cheo chako , hiyo ndio inaitwa political dynamic , chengine ni kwamba huwezi kuushinda mfumo mkongwe kama wa ccm bila kuwatumia waliokuwa mle ndani , dunia nzima iko hivyo , na nakuhakikishia kwamba lowassa kuja cdm ameharibu kabisa mfumo wa ccm , wamebaki wasakatonge na watoto wa viongozi kama tulivyopanga , fanya utafiti .
 
Hasa ikizingatiwa kitu alichofanya JPM jana cha kutuletea old wine in a new bottle.
Hakika kutegemea mabadiliko ndani ya mfumo wa CCM walioishiwa pumzi, ni sawa sawa na kutegemea umpenyeze ngamia kwenye tundu la sindano!

Old wine in a new bottle?? You made my day....
 
CHADEMA,sio makini kama unavyo amini, wameonyesha kuwa hawako makini pale walipoona wanachadema wote hakuna anaefaa kuwa rais, mpaka watu toka CCM. Uposema wako makini sijui unamaanisha nini.

Nimekushangaa kuliko mshangao, ccm mnapoweka watoto wa viongozi marehemu kwenye nafasi za baba/mama zao huwa mnakuwa na umakini gani? Watu bana tabia za nyani hizo.
 
Jamaa ni kamanda, tulikuwa nae kwenye mkutano wa Lema hapa Arusha, mbunge ana mikakati ya nguvu kwa Tunduma, kijana ana sera za maendeleo kweli Tunduma wamejikomboa.,
 
Huu sio muda wa ahadi kama ni ahadi muda wake ulikwisha sasa hivi ni muda wa kutekeleza
 
Jamaa ni kamanda, tulikuwa nae kwenye mkutano wa Lema hapa Arusha, mbunge ana mikakati ya nguvu kwa Tunduma, kijana ana sera za maendeleo kweli Tunduma wamejikomboa.,

tunakushukuru sana mkuu .
 
Huu sio muda wa ahadi kama ni ahadi muda wake ulikwisha sasa hivi ni muda wa kutekeleza
ni kweli muda wa kuahidi umekwisha kabisa , bali hii si ahadi ni TAARIFA KWA UMMA .
 
Magufuli hana ujanja mbele ya dudu linaloitwa ccm, na baada ya uteuzi huu wa mawaziri ndiyo mwanzo wa kuisha nguvu ya Magafuli. Wait and you will see what i say.
 
Magufuli hana ujanja mbele ya dudu linaloitwa ccm, na baada ya uteuzi huu wa mawaziri ndiyo mwanzo wa kuisha nguvu ya Magafuli. Wait and you will see what i say.

andiko limejaa ukweli mtupu !
 
Tunataka Lema ndio awe mbunge alie pata kura nyingi kuliko wote, sugu ashike namba 2 kwa sababu now ndio anaongoza.
huyo kamanda lema ni hatari sana ! haikuwa rahisi kufuta ccm arusha .
 
Back
Top Bottom