Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,377
- 271,806
Viongozi wapya wa Halmashauri ya mji wa Tunduma maarufu kama ( chadema zone ) katika wilaya ya Momba mkoani Mbeya wameahidi kufanya mabadiliko makubwa ya miundo mbinu na mpangilio wa makazi katika mji huo ulio mpakani mwa Tanzania na Zambia ili kuufanya wa kisasa , jambo ambalo limeshindikana kwa zaidi ya miaka 54 tangu nchi hii imng'oe mkoloni !
Hayo yamebainishwa na mbunge wa eneo hilo Mh Frank Mwakajoka pamoja na Mstahiki Meya Mh Ally Mwafongo .
Tunawashukuru sana wanatunduma kwa kuiamini CHADEMA na hayo ndiyo matunda yake.In CHADEMA WE TRUST .