Napenda kuwashukuru wadau wote waliotoa ushauri na wale waliochukua nafasi hii kwa kukagua grammar na kiswahili changu na maandiko yangu.
Jambo la muhimu kwangu ilikuwa kupata mawazo ambayo yatanisaidia katika kufanya maamuzi katika maisha yangu.
Mungu awabariki na kuwaongezea hekima wale wote waliochangia masa hii.
nitawajulisha maamuzi yangu tena hapo baadaye