Need to know: ORAL INTERVIEW FOR ADMINISTRATIVE POSTS-UDOM

Need to know: ORAL INTERVIEW FOR ADMINISTRATIVE POSTS-UDOM

ynyend1

Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
73
Reaction score
13
Hello wana JF. Habari:
Nahitaji kujua kwa wale ambao walifanya written interview ya administrative posts za UDOM tar 17 November 2012; vipi kuna yeyote ambaye kashaitwa kwa ajili ya Oral interview? Hivi wanatumia telephone mode of communication au pia tusubiri kwenye website? Maana nimeona niulize tu nisije nikawa nasumbuka kuangalia website kumbe wenzangu walishaitwa kitambo via telephone!!! Msaada kwa mwenye kujua tafadhali...!!!
 
mkubwa nadhani hapa ishakula kwetu..lakini tujipe moyo mana nilisikia kuna kada ambazo walishafanya hata oral interview tokea mwezi wa kumi mwisho 30& 31 lakini hadi leo hii hawajaitwa ...tusubirie labda wanataka wakamilishe baadhi ya kada ili waje kutuita wote kazini
 
Nimepigiwa simu leo jion niende kazini immediately ila post ni TA, INTERVIEW NILIFANYA TAREHE 21/11/2012
 
Back
Top Bottom