Need for speed most wanted 2012 (PC)

Atlantis

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Posts
383
Reaction score
514
Hey guys, i hope mko poa!


Juzi kati hiv nilijaribu kudownload Need for Speed Most Wanted ya 2012 for PC nikapatwa na majanga mazito!
It was a torrent file from one famous torrent file sharing website na lilikuwa na ukubwa wa 7GB.
Cha kushangaza ni kwamba file lilivomaliza kudownload tu kumbe lilikuwa compressed, nikasema hakuna tatizo, nikadownload Winrar fasta!
Sasa ile nataka ku-extract file, kumbe file liko encrypted bwana na inatakiwa password for it.
Nimejaribu kwenda kwenye torrent source nikakuta ujumbe unasema, "if you want the password for this file follow the link given then complete the survey."
Kila nikifuata link it leads to nowhere na hakuna cha survey wala nini.
ah nikaamua niifutlie mbali, we imgine file la 7 GB nimekaa wiki nzima naidownload afu inaleta ushenzi!

sasa ndgu zangu naomba msaada kwa yeyote anayefahamu namna naweza pata NFS most wnted 2012 anijuze tafadhali!
 
Kwa games za uhakika huwa natumia kickass torrents website

Ila ni vizuri kabla ya kudownload game lolote soma comments za walio-download utapata kujua kuwa ni zuri kudownload au litakuwa na matatizo wakati wa kuinstall
 
Kwa games za uhakika huwa natumia kickass torrents website

Ila ni vizuri kabla ya kudownload game lolote soma comments za walio-download utapata kujua kuwa ni zuri kudownload au litakuwa na matatizo wakati wa kuinstall
Kwa version hii kickass walizo nazo wala siziamini watu wanamuuliza mtoa torrent wala hajibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…