Hahaha! Sasa mi jamaa namuelewa sana, amechoka na mambo ya madada wetu asili ya kiafrika!
Wahindi wengi wao hukaa na wapenzi wao bila kutoka nje ya urafiki. Waarabu pia hutulia pia, wakikupenda huwa wanapenda na nyumba. zao.
Sasa wenzetu, madada zetuuu........weeeeeeeee!!! utampa kila kitu...jioni ametoka....mara huku mara kule...wengi wao wako hivyo. Heshima ya mwanaume kwao zero.
Ndio maana kajitosa huko!!