NECTA yatangaza Matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2018. Ufaulu waongezeka kwa asilimia 4.96 kutoka mwaka 2017

UNgesubiri hao wenye tarifa kamili waje watoe siyo ukurupuke ili uonekane wa kwanza ku post
 
Hapo lazima watusue yani mtihani full machagulio ebu fikilia mtoto anapewa swali hili

Raisi wa kwanza wa tanganyika alikua ni nyere_______
A: ra
B: re
C: ri
D: ro
Hujui chochote kuhusu kufunga maswali au ulifundishwa na walimu hawajui kutunga multiple choice. Hakuna maswali magumu kama multiple choice kama yametungwa na mtaalamu
 
NECTA MATOKEO YA DARASA LA 2018

mbona link za matokeo ya darasa la saba 2018 azifunguki tatizo nini..?
 
Back
Top Bottom