NECTA yatangaza Matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2018. Ufaulu waongezeka kwa asilimia 4.96 kutoka mwaka 2017

Sasa wale waliorudia kutoka shule mbali mbali baada ya kufutiwa Kama kutoka Hazina, New hazina, alliance,new alliance and Co je wapo kwenye kundi la watahiniwa 357 waliofutiwa au matokeo yao yanapatikana wapi??
 
Habar za muda huu,nimepata taarifa kuwa matokeo ya darasa la saba yameshatoka,mwenye info' zaidi anaweza kutupia humu jukwaani!
 
Back
Top Bottom