Link mbona haifunguki mkuu??
Kama utataka kuangaliziwa Weka exam namba hapa,nakupa majibu chap au nipm au tuma watsup 0621082183 au normal txt (USIPIGE SIMU)
Unga naye muendeleze libenekeDemu wangu kafeli
Muda wa kumuacha ndyo huu ila tako [emoji39][emoji39]
Yaani wee unatembe na wanafunzi alfu unategemea atafahuluDemu wangu kafeli
Muda wa kumuacha ndyo huu ila tako [emoji39][emoji39]
Itapunguza competitionNa kwa SAS HV hakun Cha shule Cha kwanza Wala was mwisho super
Mm
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ujenzi Nchi Nzima Kila MwakaNaona shule za sekondari za serikali, hatimaye zimerudi kwenye chati!
Au ndiyo kusema Baraza linaunga mkono sera ya elimu bure, na pia ujenzi wa madarasa nchi mzima?