NECTA Yapo wapi matokeo ya kidato cha Sita 2008 (ACSEE 2008)?

NECTA Yapo wapi matokeo ya kidato cha Sita 2008 (ACSEE 2008)?

Kirchhoff

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,964
Reaction score
8,936
Nimekuwa nikitafuta kwa muda mrefu mahali mlipoyahifadhi matokeo haya bila mafanikio.

Ni kwa nini hayapo? Hata kule Maktaba ya Tetea pia hayapo. Nijulisheni tafadhali.
 
Huku hamna watu wa NECTA? Au hadi Maghufuli awalazimishe mjiunge?
 
Wako busy wanaandaa mtihani wa kidato cha pili na cha NNE, wavumilie tu wakimaliza watakuja kutoa ufafanuzi...
 
Nimekuwa nikitafuta kwa muda mrefu mahali mlipoyahifadhi matokeo haya bila mafanikio.

Ni kwa nini hayapo? Hata kule Maktaba ya Tetea pia hayapo. Nijulisheni tafadhali.
Mbona yapo,nenda google andika Necta,alfu chagua ACSEE utapata link za matokeo hayo
 
Back
Top Bottom