Wadau wa JF nachelea kusema kusema kuwa NECTA wameturudisha kulekule mwaka 2012.Namaanisha kuwa kuna watoto wamepata point zinalofanana lakini wanatofautiana daraja yaani DIVISION Mfano katika shule X kuna wanafunzi 4 wamepata POINT 41 na kuwekewa DIVISION 4 na wanafunzi wengine kadhaa wenye daraja hilohilo lakini wamewekewa DIVISION 0.So what TANZANIA ARE WE MAKING?
WATANZANIA HEBU TUJADILIANE THREAD HII TUPATE KUELEWA.
Grading iliyotumika hii hapa
a=1, b+=2,b=3,c=4,d=5,e=6 na f=7
halafu division
div.i ranges from 7-17
div.ii ranges from 18-24
div.iii ranges from 25-33
div.iv ranges from 34-43
div.0 ranges from 44-49
Grading iliyotumika hii hapa
a=1, b+=2,b=3,c=4,d=5,e=6 na f=7
halafu division
div.i ranges from 7-17
div.ii ranges from 18-24
div.iii ranges from 25-33
div.iv ranges from 34-43
div.0 ranges from 44-49
Mkuu haiwezekani wawe wametumia grading system hii. Ukiangalia wenye point 33 wana Div IV, wapo wengi wenye point 41-43 wana 0 wakati wengine wenye pointi 44-46 wana Div IV badala ya 0 kama mwongozo huo unavyoelekeza. Ufafanuzi unahitajika
Grading iliyotumika hii hapa
a=1, b+=2,b=3,c=4,d=5,e=6 na f=7
halafu division
div.i ranges from 7-17
div.ii ranges from 18-24
div.iii ranges from 25-33
div.iv ranges from 34-43
div.0 ranges from 44-49
Grading iliyotumika hii hapa
a=1, b+=2,b=3,c=4,d=5,e=6 na f=7
halafu division
div.i ranges from 7-17
div.ii ranges from 18-24
div.iii ranges from 25-33
div.iv ranges from 34-43
div.0 ranges from 44-49