NECTA walipeni walimu Mkuranga pesa zao

NECTA walipeni walimu Mkuranga pesa zao

ding'ano

Senior Member
Joined
Feb 24, 2013
Posts
182
Reaction score
265
Mitihani ya kidato cha pili imemalizika ijumaa huku wasimamizi wa mitihani hiyo ambao ni walimu wakishindwa kulipwa kiasi cha shillingi elfu thelathini 30,000 /= kwa siku.. Badala yake walilipwa nusu ya kiwango hicho na kuombwa subira bila kuelezwa ni lini watalipwa. Wiki moja imepita kimya. "hii serikali ni ya ajabu sana hata malipo yetu halali hawataki kulipa, increment ni haki yangu ya mkataba wangu wa kazi sijalipwa, daraja sipandishwi huku usumbufu wa uhakiki usioisha afu unataka nifundishe? Wacha nikaendeshe bodaboda yangu". Alisikikika mwalimu mmoja wa shule ya sekondari mwinyi. (Jina limehifadhiwa). Haya sasa ndalichako kuja huku isije kuwa jamaa wamezipiga ktk fixed account.
 
Halmashauri zingine kama Muheza wamelipwa elfu 10 tu kwa siku. Double standard ndani ya serikali moja.

Watendaji wa halmashauri wanamuangusha mkuu but siku zao zinahesabika.
 
Hapo dawa ni kuungana wote mnaodai na kwenda halmashauri, vinginevyo itakuwa kama necta IV 2015 hadi leo ni story tu
 
Ujinga ni kwenda kusimamia mitihani wakati unajua utasumbuliwa kulipwa na ukilipwa ni kiasi kidogo.

Mlilazimishwa kwenda kufanya hio kazi.
 
Back
Top Bottom