NECTA kuwasaka wenye vyeti bandia

Jamani jamani jamani, sehemu zoooooote waende kukagua lakini huko police naomba wasiende nchi itatikisika hii.
 
Wanapoteza Muda Wao Bure,na Kamwe Haiwezekani,watakamata Vyeti Vingine Lakini Vingine Vinaendelea Kutengenezwa Kila Siku,mimi Ndo Kazi Yangu,nina Mtambo Wa Kutengeneza Vyeti Hivyo Na Hadi Sasa Nimeshatengeneza Vyeti 1,500 na kuuza vyote,kila cheti ni sh 40,000 Na Hiyo Ndo Ajira Yangu,nikale Wapi? Nitaacha Kuvitengeneza Hadi ccm iondoke madarakani,lakini ikiendelea ndo kabisa,nitaanza kutengeneza hadi vyeti vya UNIVERSITIES,na Hakuna Wa Kunikamata Maana Nakula Na Police,hii Ndo Tanzania Bana Hutaki Unaacha.
 

mkuu naweza pata cheti cha advance kizur chenye one Kali nimepata mchongo halmashaur hiz zetu nimeambiwa ntafute chet cha six
 

nshakujua dawa yenu inakuja soon
 
...Nauliza tu: Huu ndio Mkwara wa Kwanza kuchimbwa hapa Bongo kuhusu Vyeti bandia??
 
Jamani jamani jamani, sehemu zoooooote waende kukagua lakini huko police naomba wasiende nchi itatikisika hii.
Ni miaka sasa Polisi, JKT wote wakiwa vyuoni vyeti vyao vinapelekwa NECTA kwa ajili ya uhakiki. Na kama ni mfuatiliaji mzuri wa media wengi wamekuwa wakikamatwa katika ngazi za mafunzo.

Kilichopelekea mpaka hali kwenye ajira za umma kufikia hapa ilipo ni kuzembea kwa serikali hapo awali kuajiri watumishi pasipo kuwasiliana na NECTA au TCU ili sifa zihakikiwe.
 
mkuu naweza pata cheti cha advance kizur chenye one Kali nimepata mchongo halmashaur hiz zetu nimeambiwa ntafute chet cha six

Utapata Kijana Usihofu Andaa Hiyo Elfu 40 Kisha Unitafute.
 
 
Unafahamu majukumu ya NECTA?

Huwez mrudisha mtu ambae amefuzu mafunzo yote kisa cheti jaribun kuuliza vzr pale JKT kuna kijana alikua anapiga range vizuri then alikosa post ya TPDF alikua ameamua kujitupa wp mpk ss walikua wanamtafta tchaoooooooooo warererrrrr
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…