Necta 2023

Necta 2023

Rahimphp

Member
Joined
Jul 16, 2021
Posts
13
Reaction score
3
Msaada mafundi wa geography. What are the population characteristic of 2012 census
 
What is a census
Type of census information
Using census information in planning
Evaluating the quality of census data
Au basi
 
Msaada mafundi wa geography. What are the population characteristic of 2012 census
Kundi gan ni wengi Kati ya me na ke? Kundi gan kubwa Kati ya watoto na wazlishaji.Uwiano Kati ya bara na Visiwani? Watoto walioko shule na wasioko shule? Watu wengi wapo wpi Kati ya mijini na vijijini? Miji Gani Iko na watu wengi nk.
 
zilezile tu ila Sasa unatakiwa kutoa mifano na maelezo Kwa sensa ya 2012.
Mifano

1.Sex ratio imekaaje, jinsia gan imezid
2.Mortality rate.
3.Age ratio. Idadi ya watoto vijana na wazee ipoje, dependent ratio usisahau kugusia

4.Population density hapa unaelezea unevenly distributed maeneo gan watuu wamejaa na yap wapo wachache

Ila vijana wa siku hizi hamsomi aisee, Mimi nimemaliza six 2007 ila nakumbuka vitu kimtindo. Mbona DT msabila ameandika vizuri characteristics of population. Sasa mnataka nani aipitie hiyo ripoti ya sensa 2012. Points ni zilezile ila unaelezea Kwa context ya sensa 2012
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom