Mkuu hakuna mahali niliposema kuwa Upinzani watashinda. Ninachosema ni serikali iliyopo madarakani ndiyo yenye uwezo wa kulinda au kuharibu amani iliyopo. Kama CCM watashinda well and good ............... lakini hili la kutishana kuwa wapinzani wakishinda hatutakuwa na amani ni upungufu wa akili. Mbona Nigeria, Ghana, Kenya na Zambia ambako wapinzani wameshinda bado kuna amani!!? Why us!!? Jeshi la Wananchi ni lilelile, Jeshi la Plisi ni lilelile, Usalama wa Taifa ni uleule, Magereza, JKT you name it ............ will be the same people. Sasa kwa nini amani ipotee!!?
Tatizo langu ni Magufuli kutufananisha na Libya ya Sadam ......................!!!