youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
NEC haiko huru ni idara ya serikali.
Kazi ipo
Ndugu,karma is bitch. It *** u right away here. Kivuitu alisharest in hell .Anaweza akasema chochote asubiri uchaguzi uishe atangaze tofauti na matokeo halali aijue nguvu ya umma. Mwenzie wa Kenya aliesema hata hajui nani alieshinda hadi leo bado anakimbia.Sasa wanapelekwa mahakamani kwa kutumia nembo ya M4C iliyosajiliwa kisheria na chadema akawaambie majudge waitupilie mbali na hiyo.
Anaweza akasema chochote asubiri uchaguzi uishe atangaze tofauti na matokeo halali aijue nguvu ya umma. Mwenzie wa Kenya aliesema hata hajui nani alieshinda hadi leo bado anakimbia.Sasa wanapelekwa mahakamani kwa kutumia nembo ya M4C iliyosajiliwa kisheria na chadema akawaambie majudge waitupilie mbali na hiyo.
kwa hiyo hata mtu akisema nitaingia msituni nisipotangazwa mshindi ni poa tu kwa lubuva!!!!
hii katiba ya ovyo sana,halafu kile kibabu kilichopigwa na makonda kipo bize kumpigia kampeni mwanae....
Ndugu,karma is bitch. It *** u right away here. Kivuitu alisharest in hell .
Malalamiko ya Umoja Wa Katiba Ya Wananchi [ukawa] juu ya kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi wa Ccm Bw. Abdallah Bulembo, kuwa chama chake hakitakuwa tayari kuiachia ikulu kwa namna yoyote ile,
Mwenyekiti Wa Ukawa Freeman Mbowe na mwanasheria mkuu Tundu Lissu waliiomba NEC kulaani kauli hiyo, lakini Mwenyekiti wa NEC Jaji mstaafu Damian Lubuva ameyatupa kando malalamiko hayo na kudai kuwa hiyo ni kauli ya kisiasa ya kutafuta ushindi na inaweza kutumika na upande wowote.
kwa hiyo hata mtu akisema nitaingia msituni nisipotangazwa mshindi ni poa tu kwa lubuva!!!!
Mkuu Julius Kaisari, umeongea lugha gani?Ndugu,karma is bitch. It *** u right away here. Kivuitu alisharest in hell .
kwa njia ipi?maana kauli ya bulembo anamaanisha hata kwa kutumia jeshi wataingia ikulu tu!!!!Huu uchaguzi ni wa kuingia Ikulu sio msituni! Ukisema utaingia msituni wewe ni gaidi unatakiwa kupigwa nondo mchana kweupe!!!
Hivi ulitegemea waseme nini
kwa njia ipi?maana kauli ya bulembo anamaanisha hata kwa kutumia jeshi wataingia ikulu tu!!!!
Kwa maana nyingine Bulembo ameunga mkono kauli ya gamba mwenzie Nape ambaye naye aliwahi kujiapiza kuwa hata iweje, ni lazima Sisiem watalazimisha kuingia Ikulu, hata kama kwa kufunga goli la mkono.kwa njia ipi?maana kauli ya bulembo anamaanisha hata kwa kutumia jeshi wataingia ikulu tu!!!!
Kwa maana nyingine Bulembo ameunga mkono kauli ya gamba mwenzie Nape ambaye naye aliwahi kujiapiza kuwa hata iweje, ni lazima Sisiem watalazimisha kuingia Ikulu, hata kama kwa kufunga goli la mkono.
Kama kauli za hatari ya design hizo, Jaji Lubuva anazimezea, basi upo uwezekano mkubwa wa vijana wa Bensouda watawaburuza maccm kwenda The Hague kwenye mahakama ya kihalifu ya kimataifa, iwapo kauli hizo za kuhatarisha amani zitaachiwa zizungumzwe hadi kusababisha machafuko nchini.