Ntemi Kazwile
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 2,182
- 307
Kama ni typing error kwa nini error zao zote zinaelekea kum favor Kikwete?Watakuambia typing error!
Kama waliyatangaza basi vimeo hawakuona?
Slaa(PhD) huwa habahatishi
Imedhihirisha NEC wasivyo makini, unategemea nini kazi wamepewa kina Miraji wana copy&paste wamesahau hizi figure walisevu wakati wanafanya mazoezi ya kuiba kabla ya uchaguzi
Haya ni matokeo yaliyotangazwa na NEC
.................................MZIRAY KIKWETE SLAA....... LIPUMBA... RUNGWE MGAYWA DOVUTWA SPOILT..... Total
GEITA................ 505 ...17,792.. 3,789 ..1,042 ........51 ........18 ...........49......... 791...... 24,037
NYANG'HWALE. 505 ...17,792.. 3,789 ..1,042 ........51 ........18 ...........49......... 791...... 24,037