Elections 2010 NEC toeni maelezo ni kivipi matokeo ya Geita na Nyang'hwale yanafanana!

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,185
307
Mojawapo ya majimbo aliyoyataja Dr Slaa jana ni utofauti wa matokeo ya jimbo la Geita, katika pita pita yangu nimegundua matokeo ya Geita na jimbo la Nyang'hwale yanafanana kila kitu.

Je walipitwa au ni uzembe, kama ni kweli je kuna majimbo mangapi yenye dosari za namna hii au zingine???

Jionee mwenyewe kwenye hii spread sheet. Au unaweza kugonga hapa: The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage

geita.jpg

nyangwale.jpg

geita_nyngwale.jpg

au
nec3.gif
 
Attachments

  • 2010 Elections Presidential Results Tz.xls
    838.5 KB · Views: 146
Watakuambia typing error!
Kama waliyatangaza basi vimeo hawakuona?
 
Slaa(PhD) huwa habahatishi

Imedhirisha NEC wasivyo makini, unategemea nini kazi wamepewa kina Miraji wana copy&paste wamesahau hizi figure walisevu wakati wanafanya mazoezi ya kuiba kabla ya uchaguzi

.................................MZIRAY KIKWETE SLAA....... LIPUMBA... RUNGWE MGAYWA DOVUTWA SPOILT..... Total

GEITA................ 505 ...17,792.. 3,789 ..1,042 ........51 ........18 ...........49......... 791...... 24,037
NYANG'HWALE. 505 ...17,792.. 3,789 ..1,042 ........51 ........18 ...........49......... 791...... 24,037
 
aibu gani hiiiiii, hawa wazee wa tume ta uchaguzi mungu anawaona
 
Slaa(PhD) huwa habahatishi

Imedhihirisha NEC wasivyo makini, unategemea nini kazi wamepewa kina Miraji wana copy&paste wamesahau hizi figure walisevu wakati wanafanya mazoezi ya kuiba kabla ya uchaguzi

Haya ni matokeo yaliyotangazwa na NEC

.................................MZIRAY KIKWETE SLAA....... LIPUMBA... RUNGWE MGAYWA DOVUTWA SPOILT..... Total

GEITA................ 505 ...17,792.. 3,789 ..1,042 ........51 ........18 ...........49......... 791...... 24,037
NYANG'HWALE. 505 ...17,792.. 3,789 ..1,042 ........51 ........18 ...........49......... 791...... 24,037
 
Kama ni typing error ina maana hakuna mtu anayekagua kazi ya mwingine. Hii ina potential ya kuleta machafuko kwani watu wanaweza kudhani unawaibia kumbe siyo, wanatakiwa waombe radhi kwa kosa hili, je yapo mangapi ya aina ile??
 
Safi sana mkuu, hizi ndo taarifa muhimu tunazotaka, na zitamuondoa huyu jamaa safari hii tena kwa aibu kubwa. Hapo ni majimbo mawili what happens to the rest of the country? Ngoja tuone yataishia wapi.
 
Nasikia Nanyumbu karibu jana wamuue mkurugenzi baada ya kuona matokeo yaliyotangazwa na tume ni tofauti na waliyoambiwa na mkurugenzi wakati akitangaza. Lakini bahati nzuri huyo mkurugenzi hayo matokeo alikuwa amebandika hata kwenye geti la nyumbani kwake na alikuwa na copy, ikabidi akawapigia tume mbele ya watu na kuwaambia mbona mmetoa matokeo tofauti na nilichowatumia, baada ya hapo tume walitangaza tena kukiwa na marekebisho!!!
 
Slaa(PhD) huwa habahatishi

Imedhihirisha NEC wasivyo makini, unategemea nini kazi wamepewa kina Miraji wana copy&paste wamesahau hizi figure walisevu wakati wanafanya mazoezi ya kuiba kabla ya uchaguzi

Haya ni matokeo yaliyotangazwa na NEC

.................................MZIRAY KIKWETE SLAA....... LIPUMBA... RUNGWE MGAYWA DOVUTWA SPOILT..... Total

GEITA................ 505 ...17,792.. 3,789 ..1,042 ........51 ........18 ...........49......... 791...... 24,037
NYANG'HWALE. 505 ...17,792.. 3,789 ..1,042 ........51 ........18 ...........49......... 791...... 24,037

What????
 
Hawana aibu madudu mtu hawa, mbona wanataka kutuharibia Tanzania yetu
 
Msiwe na haraka data zinaanza kuvuja taratibu mwisho tutapata kitu na box be patient hata EPA walikataa hivi hivi, nasikia Makame tumbo joto.
 
Duh! Hadi aibu. Hivi kuna uwezekano wa kuchukua hatua za kisheria kabla ya matoleo ya mwisho kutangazwa? Maana sheria inasema yakishatangazwa na tume hakuna mahakama yenye mamlaka ya kushughulikia pingamizi lake. CHADEMA wanapaswa kujitahidi kuweka hilo pingamizi sasa, la sivyo watakuwa wamechelewa na zoezi la ubakaji wa demokrasia litakamilika.
 
Tuendelee kutafuta ushahidi popote unapopatikana, Aibu kubwa watu wazima wakosa Akili, eti Jaji, to hell na ujaji wake
 
Hiyo coincidence ya watu wa sehemu tofauti kuwa na idadi kubwa vile vile n ratio ya 1 kwa trillion. Kwa kweli uchaguzi Tanzania ni kichekesho. Na Kikwete kweli atapanda jukwaani na kushangilia ameshinda!
 
Slaa(PhD) huwa habahatishi

Imedhihirisha NEC wasivyo makini, unategemea nini kazi wamepewa kina Miraji wana copy&paste wamesahau hizi figure walisevu wakati wanafanya mazoezi ya kuiba kabla ya uchaguzi

Haya ni matokeo yaliyotangazwa na NEC

.................................MZIRAY KIKWETE SLAA....... LIPUMBA... RUNGWE MGAYWA DOVUTWA SPOILT..... Total

GEITA................ 505 ...17,792.. 3,789 ..1,042 ........51 ........18 ...........49......... 791...... 24,037
NYANG'HWALE. 505 ...17,792.. 3,789 ..1,042 ........51 ........18 ...........49......... 791...... 24,037

MUNGU YUPO UPANDE WETU...! kuna siku makaburi ya akina makame yatakuja kufukuliwa na watoto wetu..!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom