Nec nomaaaaaaaaaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nec nomaaaaaaaaaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Njowepo, Nov 4, 2010.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Naangalia ITV apa NEC wanatangaza matokeo wakati Lewis anataka soma ya ubungo wenzake wakamtonya kwa sauti ndogo ila nkaidaka ITV watakaondoa mike kuwa yana marekebisho ayo akayaruka na kuendelea na ya ukerewe.
  Naona wameona yatawaumbua nini wee matokeo yameletwa mezani bado wanaogopa kuyataja
   
 2. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Eeeeeeh uko sharp kweli kweli!
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  NA MIMI NIMEONA HII NEC wapumbavu wazandiki
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Najiuliza kama hayakustaili kusomwa yamekujaje kwenye meza ya Lewis ukiona ivyo kuna kitu haooooooooooo
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Kazi ipo!
   
 6. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi mbona nashindwa kuangalia NASIKIA KICHEFUCHEFU
  OOOOOOOOHGH!
   
 7. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  MImi nilikuwa siangalii nilikuwa naangalia BBC BUZ lakini nikarudi ITV ndo nikakuta haya manyani yanatangaza upupu
   
 8. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  :smile-big::smile-big::smile-big: Tafakari........................................
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Chadema imeshinda, hayo majama ya NEC yakisaidiana na CCM wana yaBAKA matokeo ya uchaguzi nyambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaf
   
 10. c

  chanai JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inamaana bado wanataka kuchakatua zaidi? Hii kweli noma
   
Loading...