..pamoja na Amini kuwafukuza wahindi kuna idadi kubwa zaidi ya wazawa wa Uganda ambao walikimbikia ukatili wa Iddi Amini.
..pia Wahindi waliofukuzwa, kwa mfano Madhvani family, wamerudi Uganda na ku-claim mali zao, na sasa hivi ni matajiri kuliko walivyokuwa miaka ya Amini.
I am not sure about the land, what I do know is that being land or not land, Nyerere prepared to remove him since 1971. The mission was much easier when he fumbled with British and Israel. But this is not the issue, the issue is about those two points I mentioned on the thread and the heading.
..matatizo ya Mwalimu na Amin yalianza na Tanzania kumpa hifadhi Obote na wapinzani wengine wa Amin.
..pia Tanzania ili-sponsor jaribio la kumuondoa kijeshi Amin. Jaribio hilo lilishindwa na kusababisha vifo vya waasi wa Uganda na uharibifu wa mali za Tanzania. kwa mfano: kuna ndege ya ATC ambayo ilikuwa itue "kijajusi" Entebe ikiwa na makomando wa Kiganda, ndege hiyo ilitua vibaya kilimanjaro na ikawa ndiyo mwisho wake.
..baada ya tukio hilo yalifanyika mazungumzo ya amani kati ya Tanzania na Uganda yaliyokuwa sponsored na SOMALIA. mazungumzo hayo yalizaa mkataba wa amani ulioitwa Mogadishu accord. pamoja na madai mengine Uganda ilijaribu kuilazimisha Tanzania isiwape hifadhi ya kisiasa kwa Waganda.
..Mzee Cigwiyemisi John Malecela, waziri wa mambo ya nje wa wakati huo, alikataa na kumuonya waziri mwenzake wa Uganda kwamba awe makini kwasababu siku moja inawezekana na yeye akawa mkimbizi wa kisiasa. Haikupita muda mrefu aliyotabiri Malecela yakatokea, waziri wa mambo ya nje wa Uganda went into exile!!
..makubaliano ya amani ya Mogadishu yalielekeza kwamba Tanzania haitatoa mafunzo au msaada wa kijeshi kwa wakimbizi wa kiganda walioko nchini. sasa hiyo ndiyo ikapelekea Museveni na wenzake kwenda kuchukua mafunzo yao kwenye makambi ya Frelimo.
..toka wakati huo, which i think was btn 1972 to 1974 hakukuwa na matukio yoyote yale ya kijeshi baina ya Uganda na Tanzania. Hali ilibadilika ghafla mwaka 1978 ambapo Amini alivamia eneo la Kagera, akaua watu na kuharibu mali, na kuitangazia dunia kwamba eneo hilo ni la Uganda.
..Nyerere aliweka condition kwamba Uganda wa-denounce their claims to Tanzanian territory na walipe fidia kwa uharibifu uliotokea. Amini alikataa, na OAU chini ya raisi Jafar Nimeiri wa Sudan walishindwa kum-condemn Idi Amin. ndiyo maana kuna wakati Nyerere made a few harsh statements about Nimeiri.
..Tanzania ilikuwa imeshtukizwa kijeshi kwasababu kulikuwa na kikosi kidogo cha JWTZ ambacho kilikuwa run over na majeshi na vifaa vizito vya Amin. focus yetu wakati huo ilikuwa imehamia kusini ambako tulikuwa tunawasaidia Frelimo wa Msumbiji. vikosi vilivyokuwa battle ready vilikuwa kusini ya Tanzania.
..kwa kifupi very few ppl thought we had any chance of defeating Amin. wapo hata wanaodai Mwalimu alisita sana kupigana na Amini na waliompa moyo ni makamanda wa kijeshi na Samora Machel wa Msumbiji.
..Tanzania ilibidi iji-organise ikiwa ni pamoja na kuhamisha vikosi toka kusini kupeleka kaskazini. kuimarisha mafunzo ya mgambo[people's militia] ili kuwapeleka mstari wa mbele. sehemu kubwa ya askari wa Tanzania ilikuwa ni wananchi waliojitolea kwenda kumtoa nduli. kila mkoa ulipewa quota ya idadi ya wananchi watakaokwenda frontline. Mkoa wa Mara uliongoza kwa wananchi kufurika ktk vituo vya kujiandikisha.
..nawashauri mtafute vitabu vinavyoelezea vita ile. You will be amazed on how we pulled it off. siyo kazi rahisi hata kidogo kuingia kijeshi ktk nchi nyingine na kuisambaratisha serikali iliyoko madarakani. Tulipomtoa Amini, tulisimika serikali ya wananchi wa Uganda. baada ya muda ukaendeshwa uchaguzi mkuu, na Tanzania ikajitoa kijeshi!!
..kuna mambo mengi sana yalikuwa yanakwenda simultaneosly.wakati vita inaendelea tuli-mobilize Waganda watakaounda serikali, na vilevile tulifundisha vikosi vya jeshi jipya la uganda.
Ngongo said:Hili nalo neno,ni kweli hawa wahindi wamerejea Uganda wamekuwa matajiri kuliko mwanzo lakini hili si kosa la Amin kwa hakika ni makosa ya watawala wa wakati huu [Mu7]
Overall, Amin wa a fag. I hate these *********s (faggot indians) because of what they do to my country, including racism against natives but cannot support that moron. They are the same, all are faggots. As for not being used by his 'masters' , i am sure did a right thing unkwowingly. A person of Amin's brain couldn't have analysed and realize that he can be used. Purely accidental! Kunguru kumnyea binadamu aliyeko chini ya mti ni shabaha? I don't know if you are aware of the havoc he wreaked to his and other people including Tanzanians who were working for the then EAC and living in Uganda!
Hii JAMII FORUMS imeingiliwa na watu wa ajabu ajabu Munawazungumzia ubaya wao na uzuri wao watu waliokwisha kufa jamani?Wakati wa utawala wa baba wa Taifa umeshapita na Wakati wa Nduli iddi Amini umeshapita jamani tuzungumzie Nchi yetu inavyoendeshwa na Mafisadi tusizungmze Mambo aliyokuwa ameyafanya Mwalimu Nyerere na Nduli iddi Amini zao zimeshapita jamani tuyache yaliyopita tugange yaliyopo sasa Nchi yetu imeoza kiuongozi. Njaa kila sehemu,umeme hakuna maji masafi hakuna Dawa Mahospitalini hakuna,Watoto shule wanakaa chini ya muembe,Ufisadi,Rushwa Ujambazi,wizi na kila aina ya Uchafu Nchi yetu inayo.Tunao Viongozi lakini wengi wao ni Viongozi majina tu tujiaandae kuwachaguwa Viongozi wenye sifa za uongozi Viongozi wanaopenda Nchi yao pamoja na wananchi wao sio kuwasema Viongozi walikwisha kufa jamani tuamkeni .
I agree with you MwanafalsafaOne thing you are forgetting Ngoda is that Iddi Amin's tarnished image is not the fault of Nyerere. The international community by then already saw him as a dictator. So the question is that don't you believe the fact that he committed crimes against humanity?
A second point is that Tanzania did not just out of know where invade Uganda. It is a known fact that Iddi Amin wanted to occupy the land bordering Tanzania and Uganda. The most sacred job of any president is to defend the borders of his country. You being a Tanzanian don't you believe in protecting our land?
Mkuu Mzizimkavu una nitisha na reasoning yako hapa. Mwisho uta sema historia iachwe kufundishwa mashuleni kwani inaongelea matokeo yaliyo pita na watu ambao walisha kufa. Na pia kama Muislamu una weza usi wafundishe wanao na watu wanao kuzunguuka kuhusu mtume Muhamad kwa vile na yeye alisha kufa. Kuna msemo wa kiingereza usemao "Those who do not know their history are bound to repeat it". Na mkuu mambo mengi katika maisha ya binadamu yapo kwenye chronological order kwa maana kitu kilicho tokea nyuma kime changia kwa kiasi fulani hali ambayo ipo kwa sasa.
Mkuu MwanaFalsafa1 hata kama Mnazungumzia History ya mtu mujaribu kuzungumza kwa heshima sio kumkashifu mtu au Kiongozi kati yenu nyinyi wote mnaye mzungumzia Mwalimu nyerere makosa yake na Nduli iddi amini makosa yake mujiangalie je nyinyi wenyewe hamna Makosa yoyote yale? Mkuu MwanaFalsafa1 ukitaka kuzungumzia Aibu ya mwenzako jaribu kuiangalia aibu ya kwako kisha ndio uzungumzie Aibu ya mwenzako. Mnafunguwa Threat ya kuwakashifu Viongozi waliopita au walijkufa wakati nyinyi wenyewe wote mna makosa yenu tena Makubwa kuliko hao Viongozi mnaowataja kwenye hii Forums Acheni mambo ya kashfa za Viongozi Asanteni.
Idd Amin kama walivyokuwa marais wengi wa Africa alikuwa na plus and minus zake. Idd Amin alikuwa hajaenda shule ila ninaweza sema ni mmoja kati ya viongozi wazalendo na wenye mapenzi hasa kwa nchi yake. Nina hakika Tanzania ya sasa inahitaji kiongozi kama amini ukiondoa minus zake. Tatizo kubwa ni kwamba sisi tulikuwa na akili zatu wakati wa vita ya Uganda kuanzia chokochoko za mwaka 1972 baada ya Amin kupindua mwaka 1971 na full scale war of 1978 -79. Tulikuwa tukilishwa propaganda na nyimbo za kumponda kupitia RTD kama vile " Idd Amin Jasusi tena hilo joka kuu, limefanya uvamizi kuteka ardhi yetu, hatuna jambo jingine ni kulifunza adabu...". Ila kwa Uganda Amin is their hero. Angalia filamu yake hapa chini halafu uamue kuwa utamuweka kundi gani?
[video=google;4169600956573058582]http://video.google.com/videoplay?docid=4169600956573058582#[/video]
Kiongozi mwenye mapenzi na nchi yake angeua 500,000 ya raia wake, wengi wao wasio na hatia ?
Unajua Idi Amin aliua watu kutoka katika kila nyanja ya maisha ya watu wa Uganda? Kuanzia jeshini, makanisani mpaka vilema? Huyu ndiye kiongozi anayepend nchi yake huyu ?
Mkuu MwanaFalsafa1 hata kama Mnazungumzia History ya mtu mujaribu kuzungumza kwa heshima sio kumkashifu mtu au Kiongozi kati yenu nyinyi wote mnaye mzungumzia Mwalimu nyerere makosa yake na Nduli iddi amini makosa yake mujiangalie je nyinyi wenyewe hamna Makosa yoyote yale? Mkuu MwanaFalsafa1 ukitaka kuzungumzia Aibu ya mwenzako jaribu kuiangalia aibu ya kwako kisha ndio uzungumzie Aibu ya mwenzako. Mnafunguwa Threat ya kuwakashifu Viongozi waliopita au walijkufa wakati nyinyi wenyewe wote mna makosa yenu tena Makubwa kuliko hao Viongozi mnaowataja kwenye hii Forums Acheni mambo ya kashfa za Viongozi Asanteni.
Lete evidence ya watu aliyoua. Kuna watu vilevile wanasema Nyerere aliua watu wengi walikuwa wanampinga. Hizo propaganda za magharibi baada ya kuachana na Israel na kuanza ku-support arabs