Ndugu zetu wakenya mwatutia aibu

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,659
58,997
image.jpg
The picture speak everthing
 
Wakenya ni noma .wanapenda kujishaua sana. Unajua hata kupika hawajui mpaka wapelekwe chuo. Ukikuta mkenya anaongea na Mzungu utajua Yuko juu kinoma kumbe analala kwenye mabox Kule kariobangi na madongo poromoka. Ukute amenunua Benz na kuvaa Nguo ya being mbaya basis mwambie nakuja hm.atakuambia tuonane kwa Hotel. ndio wataalam wa kula chuku chuku.
 
Shm km hio hata Nzi mwenyewe hawez ish anaogopa kipindu pindu.
Mmbu ndo kbsaaa akikatza anapiga chafya
 
Ukweli kuwa sisi tunashughulika na wakenya zaidi ya wao wanavyoshughulika na yetu,
 
Uchumi mkubwa hahaha
uchumi upi watu wanaishi kama Nguruwe Mji mkuu!!
Nairobi ina wakazi 3.5ml
ajabu watu 2.5 huishi kwenye vibanda hivyo
Huo uchumi unamsaidiaje mkenya!!
 
Wakenya ni noma .wanapenda kujishaua sana. Unajua hata kupika hawajui mpaka wapelekwe chuo. Ukikuta mkenya anaongea na Mzungu utajua Yuko juu kinoma kumbe analala kwenye mabox Kule kariobangi na madongo poromoka. Ukute amenunua Benz na kuvaa Nguo ya being mbaya basis mwambie nakuja hm.atakuambia tuonane kwa Hotel. ndio wataalam wa kula chuku chuku.
kichwa chako kina kasoro...ni kweli mtu anaweza kuwa na Benz na anaishi kwenye hali hii ya madongo poromoka? anyway, tuwachieni slums zetu tuzikabili...haiwahusu ndewe wala sikio.
 
Back
Top Bottom