Ndugu Zetu wa Kanda ya Ziwa


bm21

bm21

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2008
Messages
774
Likes
10
Points
0
bm21

bm21

JF-Expert Member
Joined May 12, 2008
774 10 0
Rugaimukamu: Hivi Rweyongeza, kare katoto kako Gozbert kako wapi siku
hizi? maana nakumbuka karikuwa dull darasani mwenzake Albert ni daktari
bingwa sasa!

Muchunguzi: Ee Albert kumbe ni mtaaram bwanaa.

Rweyongeza: Aaa Gozbert yupo, yeye kazi yake ni kuwahudumia wagonjwa
warioshindwa na madaktari bingwa!

Rugaimukamu: Mmmmhh

(BAADA YA Rugaimukamu kuondoka )

Muchunguzi: Eee Rweyongeza, nirishindwa kukuuriza mbere ya Rugaimukamu,
sasa kama Gozbert anahudumia wagonjwa warioshindwa na madaktari bingwa,
yeye ni nani?

Rweyongeza: Aaa unajua Ka Gozbert hakakusoma hivyo kanachimbaga makaburi!
 
Sumbalawinyo

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Messages
1,285
Likes
26
Points
0
Sumbalawinyo

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2009
1,285 26 0
Kumbe Gozbert ni mchimba makaburi profesheno...
 
Kisusi Mohammed

Kisusi Mohammed

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Messages
465
Likes
125
Points
60
Kisusi Mohammed

Kisusi Mohammed

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2009
465 125 60
Hahahahahaaaaa, iweee, waija na iyyasi! Torabonangana nyenkya!
 

Forum statistics

Threads 1,251,001
Members 481,550
Posts 29,753,725