nyanimzungu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2017 Posts 1,204 Reaction score 937 Jan 31, 2018 #61 impelle said: hiyo ni fursa itumie, ingawa sijabaini sawa sawa jinsia yako but whatever unatakiwa uamke utafute, hao unaowalalamikia sio wazazi wako. Click to expand... Huyu ni kidume kwa muonekano wa uandishi wake inaonesha
impelle said: hiyo ni fursa itumie, ingawa sijabaini sawa sawa jinsia yako but whatever unatakiwa uamke utafute, hao unaowalalamikia sio wazazi wako. Click to expand... Huyu ni kidume kwa muonekano wa uandishi wake inaonesha
NIMPENDENANI JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 6,114 Reaction score 5,398 Jan 31, 2018 #62 Heci said: Kazi za ndani ntavunja ndoa za watu, mi kukataa siwezagi Click to expand... Sio lazima za ndani kama unajua udhaifu wako,na kama umesoma inabidi ujiongeza,hasa maisha haya usi mtwike mtu matatizo yako wala mtu asikupe yeye mamtatizo yake kila mtu alokua nayo yanatosha.
Heci said: Kazi za ndani ntavunja ndoa za watu, mi kukataa siwezagi Click to expand... Sio lazima za ndani kama unajua udhaifu wako,na kama umesoma inabidi ujiongeza,hasa maisha haya usi mtwike mtu matatizo yako wala mtu asikupe yeye mamtatizo yake kila mtu alokua nayo yanatosha.
Mima white cute JF-Expert Member Joined Nov 24, 2017 Posts 740 Reaction score 1,305 Feb 1, 2018 #63 Pambana na hali yako mkuu. Upo Dar mkoani kama upo dar baht nzuri hiki jiji hakuna kazi za kiume wala za kike...juhudi yako tu.
Pambana na hali yako mkuu. Upo Dar mkoani kama upo dar baht nzuri hiki jiji hakuna kazi za kiume wala za kike...juhudi yako tu.
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,850 Feb 1, 2018 #64 Ni ndugu wa tumbo1? Anyway pambana uweze kujisimamia mwenyewe ndugu... Usitegemee ndugu