Ndugu zangu wananitenga

hiyo ni fursa itumie, ingawa sijabaini sawa sawa jinsia yako but whatever unatakiwa uamke utafute, hao unaowalalamikia sio wazazi wako.
Hata wazazi si wa kuwalalamikia duniani,ilhali via vya uzazi vimeshakomaa
Akomaze na akili yake.
 
asee ad nmejiskia vibaya...
nmepitia iyo kutu..

as long as nna maisha yangu sinaga story nao zaidi ya wazazi tuu yan nnamiaka kbao sjawasliana nao

ila sio kitu kizuri kwe family kubaguana inajenga chuki mbaya kwe mioyo yetu

mtu yuko radh achangie 1ml kwe harusi ya shost ake akamuacha kakake anaeumwa na hana ela!

maisha yana change siku ukpata matatizo marafiki wamekutema... sjui unaanzaje kuniomba msaada

MUNGU NJALIE NIWE BABA BORA SHUSHA UMOJA KWE FAMILIA YANGU Amen!!
 
Tafuta hera acha kulialia ukipata hera utawaona ndugu hata ambao hujawahi waona tafuta pesaa
 
Tafuta hera acha kulialia ukipata hera utawaona ndugu hata ambao hujawahi waona tafuta pesaa
Hera ndio nini? Siijui, nitumie japo picha yake nikaitafute
 
Tafuta hera acha kulialia ukipata hera utawaona ndugu hata ambao hujawahi waona tafuta pesaa
Hera ndio nini? Siijui, nitumie japo picha yake nikaitafute
 
Yaani mimi ni nabii Tito?
 
Kazi za ndani ntavunja ndoa za watu, mi kukataa siwezagi
 
Khaaa af nadhan u jinsia ya Me yan bado unawaza kusomeshewa mtoto. Hebu mpeleke elimu bure alafu tafuta kazi yyt ufanye wacha kulia liaaa
 
punguza mawazo mgando hujatengwa ila wewe ndio umejitenga ,huwezi kujua umbali wa safari wakati umebebwa mgongoni ,shuka utembee mwenyewe ndio utajua umbali wa safari ,Pambana.
 
watu kweli tumeumbwa tofauti sana....wengine wana ndugu zao waliowaachia ziwa na wala hawajui hata kinachoendelea maishani mwao.
 
yan mtoto uzae wewe kulea umwachie mwingine , , alo kila mtu ataubeba msalaba wake we kama hukuzaa kwa malengo basi alaf usitake title kubwa mtoto mpeleke shule za magu ndo tulizosoma sisi najua hata wewe umesoma jikune mkono unapofika usitake kuonekana una pesa kumbe kapuku , pia jishugulishe na kazi ndogo ndogo kulingana na nguvu zako c unajua mtaji wa maskini nguvu zake mwenyewe pia weka tumaini kwa Mungu co kwa ndugu
 
Nyie watoto jamani hebu jishughulisheni;
hata kuendesha boda boda au kupiga matofali
hivi kweli unakuja kulia huku kuhusu mtoto mmoja kuwa
umeshindwa kumsomesha; mbona uliweza kuzaa?
[emoji109]
 
Aibu sana kumtegemea mdogo wako tena wa kike.na huwezi jua inawezekana pesa anaitafuta kwa shida either another time inamlazimu agawe papunchi kuongeza kipato.

By the way ww ni ntoto ya kiume pigana mtoto asome ikiwezekana uza hata nkudu ntoto iende sule acha kulalama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…