Nakapanya
JF-Expert Member
- May 22, 2012
- 2,096
- 709
Ninakuwa na furaha sana ninapotembelea jukwaa la sports katika jamii forum,michezo ni furaha,michezo ni bururadi,michezo hujenga urafiki.
Binafsi michezo imenipa kufahamiana na watu wengi sana na kupata marafiki wengi sana,tutumie jukwaa hili kujenga urafiki na kupeana furaha.
Hebu tujitofautishena majukwaa mengine ambayo kwao kutukanana na kukejeliana ni jambo la kawaida,mimi niko MCC,wewe upo Yanga,mwingine Simba,Azam,Jkt Ruvu....kutofautiana huko kiushabiki ndiko kunakoleta furaha,kutaniana kwa mashabiki ndio utamu wenyewe,hebu tuepuke matusi jamani
michezo ni urafiki,tudumishe umoja,tuenzi ushirikiano.
Cc: Makoye matale,Ndetichia,Masuke,Revocatus Kashaga,Mphamvu,Saitoti,Sibonike,Mourinho,Gentamycene na wengineo wote wadau wa jukwaa la sports