Ndugu zangu walutheri

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
9,868
Reaction score
5,753
Ndivyo itakavyokuwa 27/10/2015 matokeo yatakapotangazwa na Magufuli kuibuka kidedea.
 
Sisi siyo ndugu zako.

Mmeanza uchochezi wetu.

Kura tutampa Lowassa.
 
Reactions: aye
naona mnachochea kuni haita badili maamuzi ya wengi
 
Kasomeni Luka 11: 17

But he, knowing their thoughts, said unto them, Every kingdom divided against itself is brought to desolation; and a house divided against a house.
 
Mungu Mkubwa Na Kwa Uwezo Wake Lowasa Atashinda
 
Ndivyo itakavyokuwa 27/10/2015 matokeo yatakapotangazwa na Magufuli kuibuka kidedea.
View attachment 285043
hiyo wasukuma tunaita kura za huruma,,,,,,,:wink::wink::wink::wink::wink: ,,huu mwaka kuna wau waawambia jamani mi nina mvi ningi mniombee maana hajawahi chaguliwa rais mwenye mvi
 
TataMadiba hadithi hadithi..urongo njoo...kama unazo kadi zote milioni 24 za kura basi mgombea wako atashinda, lakini kama sisi wapumbavu na malofa katika ubora wetu tunazo kadi zetu...tarajia mabadiliko na huenda ukawa wa kwanza kupata presha. tanzania bila ccm inawezekana oktoba 25
Ndivyo itakavyokuwa 27/10/2015 matokeo yatakapotangazwa na Magufuli kuibuka kidedea.
View attachment 285043
 
watu humu jf huwa wazito sana kuelewa.....
tusubiri hiyo oktoba.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…