Karibu Lizaboni Mtani, uje ushanga shangae na huku, sina hakika kama kwa Komba unapajua, Ufike mpaka Luhuwiko, uende mpaka Peramiho, Maposeni, Lindusi na Likuyu!
kari na meta sec. ni forest ya zamani kaka
Dah! yaani katika tembea tembea yangu ya nchi hii...Songea na Ruvuma kwa ujumla sijawahi kanyaga...ila nashukuru kwa ukaribisho huo mtani!
samaki watamu na wenye virutubisho (mbelele, masangarafu, sipa)
Babe nilikuwa nataka niende mitaa hiyo.....
nahitaji yako ruhusa
Tukienda wote vibaya....?:A S-heart-2:
pozzyfaza tunaitwa WAKURYA na si WAKULYA kama ulivyoandika, sisi hatuna L, kila kwene L weka R, na R inabaki kama ilivyo. Badilisha.Leo nimewaandalia kichuri, hapa mkoani mbeya, kuna kapart hapa kwangu maeneo ya forest
Kwenye mboga, dadi uyewalili (umesahahu) Mdojolela, chikandi, mangatungu, Mawondi, linamfusulela, fiwi, etc halafu kwenye kinywaji tuna komoni, kindi, ulansi, togwa a.k.a kindongo etc Kwenye ngoma umeshahu lindeku, madogoli etcSongea is unforgotten city, Kuanzia makumbusho-Makaburi ya Nduna Songea, Nkosi Mbonane, wadada warembo na watamu, samaki watamu na wenye virutubisho (mbelele, masangarafu, sipa), fukwe nzuri (mbamba bay), Ngoma ambayo ilimtoa ushamba Mjaluo Obama (Mganda), Kioda kilimchengua Malia na Mama yake Michele, bahati mbaya hakuoneshwa Chomanga, Ligambusa, Kingwangwa, na Lipuga-kama unapenda majambo haya basi utalowea. Misosi ndo mpango mzima-Lidelele, pitiku, mayenje, makululu, ngowani, lineke, mawungu, Likungu na much more to taste there! Hutajutia mtani, Karibu sana mtani,
CC platozoom, charminglady, The Boss, Mtambuzi, AshaDii, ladyfurahia, Wiyelele, Maboso, Ngalikihinja, Dark City, Fixed Point, snowhite, Kipipi, saudari, EMT, Bujibuji, Boflo, Nicas Mtei
acha ushamba dogo,kwenu ni kwenu 2ndio hao hao. wanakatana mapanga poti. kama mm tangia nije mjini cjarudi tena tarime. na ctarudi
Hahahaahahaha! kaka ve wa mkangafu, Salute bro!!Kwenye mboga, dadi uyewalili (umesahahu) Mdojolela, chikandi, mangatungu, Mawondi, linamfusulela, fiwi, etc halafu kwenye kinywaji tuna komoni, kindi, ulansi, togwa a.k.a kindongo etc Kwenye ngoma umeshahu lindeku, madogoli etc
CC platozoom, charminglady, The Boss, Mtambuzi, AshaDii, ladyfurahia, Wiyelele, Maboso, Dark City, Fixed Point, snowhite, Kipipi, saudari, EMT, Bujibuji, Boflo, Nicas Mtei