Ndugu zangu waislamu mimi nakata munijibu hili swali

Ndugu zangu waislamu mimi nakata munijibu hili swali

Hammer11

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
2,029
Reaction score
2,657
Ndugu zangu waislamu mimi nakata munijibu hilo swali maana nimeuliza mashekhe wameishia kusema Mungu anajuaaa tyuu waislamu wa kiume wakifa wakiwa wema wanapewa wanawake bikra 72 na mito ya asali maziwa

Sasa jee wanawake wakifa wema watapewa nini huko peponi na kama hawatapewa hivyoo sasa dini ishawapendelewa wanaume nieleze hapoo?
 
Back
Top Bottom