Ndugu zangu wachaga badilikeni

Ndugu zangu wachaga badilikeni

Hii kweli jukwaa la General Forums, Habari na Hoja mchanganyiko


Uzi wa kimbwa na ki cadavar kuwahi kutokea hapa jf!
 
Juzi nilikua nimemtembelea baba mkwe wangu ambaye alikua amelazwa kwa kuanguka ghafla nilipojaribu kuumuliza daktari nini hasa chanzo cha tatizo akanijibu mzee alianguka kwa ajili ya njaa daa nikashikwa na aibu sana tukio hili limenifanga nikumbuke mwaka Jana alipolazwa nilijifungasha majuisi na vitu vingi tuu ajabu hakula ata kimoja badala yake nikavikuta ameviweka dukani kwake anauza baada ya kuruhusiwa kutoka hospital ni aibu shemeji zangu mbasilike,utajili sio kujinyima

Ujumbe huuu umeletwa na taasisi ya kuwaponda wachaga ulimwenguni
 
Juzi nilikua nimemtembelea baba mkwe wangu ambaye alikua amelazwa kwa kuanguka ghafla nilipojaribu kuumuliza daktari nini hasa chanzo cha tatizo akanijibu mzee alianguka kwa ajili ya njaa daa nikashikwa na aibu sana tukio hili limenifanga nikumbuke mwaka Jana alipolazwa nilijifungasha majuisi na vitu vingi tuu ajabu hakula ata kimoja badala yake nikavikuta ameviweka dukani kwake anauza baada ya kuruhusiwa kutoka hospital ni aibu shemeji zangu mbasilike,utajili sio kujinyima
Ulizijuaje hizo juice na hivyo vitu vingine ulivyovikuta vinauzwa hapo dukani kwa baba mkwe wako kua ndio vile vile ulivyompelekea hospitali wakati kalazwa?
 
Hivi unawajua kutofautisha kweli wachagga Na wapare ?? Maana watani zetu wapare hayo Maelezo yako ndio tabia zao. Reserve my words.
 
Juzi nilikua nimemtembelea baba mkwe wangu ambaye alikua amelazwa kwa kuanguka ghafla nilipojaribu kuumuliza daktari nini hasa chanzo cha tatizo akanijibu mzee alianguka kwa ajili ya njaa daa nikashikwa na aibu sana tukio hili limenifanga nikumbuke mwaka Jana alipolazwa nilijifungasha majuisi na vitu vingi tuu ajabu hakula ata kimoja badala yake nikavikuta ameviweka dukani kwake anauza baada ya kuruhusiwa kutoka hospital ni aibu shemeji zangu mbasilike,utajili sio kujinyima

Huyo ni baba Mkwe au mume mwenzio? Naona umeandika ki-iyena iyena sana kama kawaida yenu!
 
Juzi nilikua nimemtembelea baba mkwe wangu ambaye alikua amelazwa kwa kuanguka ghafla nilipojaribu kuumuliza daktari nini hasa chanzo cha tatizo akanijibu mzee alianguka kwa ajili ya njaa daa nikashikwa na aibu sana tukio hili limenifanga nikumbuke mwaka Jana alipolazwa nilijifungasha majuisi na vitu vingi tuu ajabu hakula ata kimoja badala yake nikavikuta ameviweka dukani kwake anauza baada ya kuruhusiwa kutoka hospital ni aibu shemeji zangu mbasilike,utajili sio kujinyima
Mngekuwa mnamhudumia asingeanguka njaa....


Aibu yenu
 
Najua tu ulitaka kuongeza idadi ya thread ulizopost JF hakuna kingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom